Safi sana wabunge wetu. CCM ilitoa takwimu kuwa CDM inatumia milioni 100 kwa kuandaa maandamano na mikutano kwa mwezi mmoja lakini unaweza kuona jinsi mikutano hiyo inavyogharimu fedha kidogo sana kwa kuishi kwenye nyumba za kawaida kabisa, kula msosi wa kawaida kabisa na kunywa maji tupu. Gharama hizo si kweli. Ukweli ndo huo unaooneshwa na wabunge wa CDM....