Wabunge chadema noma

mjin kaz tumemaliza sasa tupo walipojifisha magambaz bush ili tuwarudishe mjin kuwatoa sumu na gamba jipya mfano mbunge bandia wa tarime
 
Wapendwa wana-JF, hakika halina ubishi tena CHADEMA mpo juu. Swali ni je, mtamantain hii kasi hadi 2015?

Pamoja na kwamba mpo juu, tafadharini nisaidie kujua japo kwa ufupi kiwango cha elimu na wasifu wa kila mmoja wa hawa waheshimiwa sana:

1. Mh, Mbowe(Hai)
2. Mh. Silinde Ernest (Mbozi West)
3. Mh. Vicent Nyerere (Musoma Urban)
4. Mh. Godbless Lema (Arusha Urban)
5. Mh. Ezekia Wenje (Nyamagana)
6. Mh. Joseph Selasini (Rombo)
7. Mh. Mch. Peter Msigwa (Iringa Urban)
8. Mh. Joseph Mbilinyi (Mbeya Urban)
Huwezi jua, ya Mungu mengi hawa wanaweza kuwa baadhi ya mawaziri (wasio vivuli) ktk Serikali yetu hivi karibuni (2015 😛ound🙂
 
CV zao za kawaida sana, sema tu wanajituma
 

Mkuu mbona unataka kuleta maneno hawa wabunge wote sidhani kama kuna aliyezidi kidato cha tano
 
Inanikumbusha nikiwa mdogo Mwl JK alikuwa akifanya ziara analala kwenye shule za msingi huko vijijini pamoja na VP Jumbe na viongozi wengine wa kitaifa leo viongozi wetu hata wilayani kama hakuna Hotel nzuri hawalali wala kula aibu kweli, Big up makamamda wa CDM
 
Kipi hafadhari hizi picha za wabunge wa cdm au hizi hapa chini?







Picture says thousand words
 
Mkuu mbona unataka kuleta maneno hawa wabunge wote sidhani kama kuna aliyezidi kidato cha tano
Hapo ndio naamini kumbe CCM hakuna mwenye akili timamu ndio wewe wamekutuma uje kujibu hoja hapa kwa niaba ya Kina Mwakyembe? Hivi Silinde si amegraduate UD mwaka jana baada ya kupata Ubunge? Msigwa huna taarifa kama ni graduate? Mbowe Je, hakugraduate Hull University? Punguza chuki bro na kuwa mkweli, sio lazima uikubali CDM lakini kwa baadhi ya mambo ni vizuri kuwa mkweli itakujengea heshima
 
huyu profesa.phd kikwete kakusaidia nini?
kuweni wakali ila ukweli utabaki pale pale hawana elimu dunia ya kueleweka mfano kimbelembele lema na fujo zake mwambieni atulize akili vinginevyo anaharibu chama chenu
 
kuweni wakali ila ukweli utabaki pale pale hawana elimu dunia ya kueleweka mfano kimbelembele lema na fujo zake mwambieni atulize akili vinginevyo anaharibu chama chenu

Hebu kuweni wenye akili basi hata kidogo..Elimu za hao walio madarakani zimeleta tija kiasi gani kwa taifa letu, zaidi ya uhamnazo uliopitiliza. Huyo Dr. wa kubumba mzee wa kaya nini kalifanyia taifa lake mpaka usawa huu? nini kinaweza kuwa mfano wa uongozi wake.....hopeless plus upuuzi mtupu.
Elimu haina maana kama haiweze kulisaidia taifa, we are no longer blind kwa hizi degree uchwara na Ph.D za kupewa.
 
GOOD COMRADES! Tunapambana mpaka kieleweke, CCM na magamba yao bye2. Matatizo ya CCM yako kwenye moyo, wanachohitaji ni kuvua moyo na wala siyo magamba. Lakini mmmmmmhh, kitu rahisi kama kuvua gamba nacho kimewashinda. Je, ahadi watazitekeleza? Yaani: kujenga barabara Musoma-Saminge-Arusha 430km, meli mpya kila ziwa, Nyerere University pale Butiama, bara2 Manyoni-Kigoma, high schools 2 kila tarafa, nk na nk. Tunasubili tuone....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…