lwakiongozwa na richard ndassa na zungu,wamesema hawakuwa na kikao au mpango wowote wa kumpindua rais kama ilivyoripotiwa na gazeti la mwanahalisi..
wadai mwenyekiti katika kikao cha kum-impeach rais ni waziri mkuu ambaye ameteuliwa na rais hivyo hawezi kuongoza kkao hicho
wasema mlolongo wake ni mrefu na usipokuwa makini unaweza kuishia jela...
Ndo nani tena huyu jamani?wakanushe wasikanushe, hakuna anayemtaka Kikwete. Pengine ni mange kimambi ndo anayempenda na familia yake
Mwanahalisi ni gazeti la udaku siku hizi.
Sipati picha huu uchochezi ungekuwa awamu hii?Wakuu kulikuwa na hako kachokochoko?
hata kama ni kweli watasema?wakiongozwa na richard ndassa na zungu,wamesema hawakuwa na kikao au mpango wowote wa kumpindua rais kama ilivyoripotiwa na gazeti la mwanahalisi..
wadai mwenyekiti katika kikao cha kum-impeach rais ni waziri mkuu ambaye ameteuliwa na rais hivyo hawezi kuongoza kkao hicho
wasema mlolongo wake ni mrefu na usipokuwa makini unaweza kuishia jela...