Mkuu upo sehemu gani??mi naishi hapo kwenye kambi ya jeshi....nyumba inatazamana na shoe shiner karibu na mashine ya kusaga
Wana jf siku hizi umu kumekuwa na watu wajinga sana, hata ukitaka kuuliza jambo la maana basi atatokea mtu ataweka nae upuuzi wake. Itabidi mod tuanze kuchangia na kutoa hoja kwa kiingeleza maaana kidogo tutawapunguza watu kama hawa maana kizungu ndio kiboko yao, wanadhani humu kuna umbea na udaku, wakati wao mbona wakiwa wanasoma magazeti yao ya udaku sie hatuwaingiliiiii?
Mod lifikilie hili.