Wabongo Wabishi. Land Rover Defender 110 2020

GeoMex

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
5,431
19,776
Owner: Naambiwa Omar Bakhresa
Screenshot_20201218-131547_1608286825345.jpg
 
ila bei yake mbona ni milioni kama 110 tu nahisi hiyo wengi wanaimudu kununua hata diamond anaweza nunua hiyo
 
Unalinganisha Mimba na Kitambi

Yaaani huo ujinga wa mjapani ulinganishe na Defender??

Unajua maintenance yake hiyo gari??

Bei ni sawa, ndicho nilichomaanisha, hivyo anayeweza kununua Prado anaweza kununua Land rover pia hivyo hakuna cha ajabu kwani Prado zimejaa Bongo, ...
 
ila bei yake mbona ni milioni kama 110 tu nahisi hiyo wengi wanaimudu kununua hata diamond anaweza nunua hiyo
Hamuelewi ishu kubwa sio kuweza. Ishu ni maintenance pia ya gari ya 2020 iliyotoka juzi tu we uwe nayo

Wanaoweza hayo mambo sana sana ni serikali ndo huwa wanajitundika

Mtu analinganisha na Prado ambayo fundi Ali wa chini ya muembe Magomeni anaibomoa injini na kuirudisha yote
 
Bei ni sawa, ndicho nilichomaanisha, hivyo anayeweza kununua Prado anaweza kununua Land rover pia hivyo hakuna cha ajabu kwani Prado zimejaa Bongo, ...
Unadhani kwanini Land Rover hazijajaa? Zimejaa Toyota brands?
 
Unadhani kwanini Land Rover hazijajaa? Zimejaa Toyota brands?

Bei ni sawa, hivyo swala la kwa nini hazijajaa inategemea na aina ya wateja na matumizi yao, kwa mfano mimi kama kwa matumizi ya Bongo nitanunua Toyota, kila mtu na mahitaji yake, usidanganywe na marketing, mwenye uwezo wa kununua Prado mpya anaweza kununua Landrover mpya pia, ...
 
Haya boss
 
Service
Bei ya Spare parts za land rover ipo juu
Ndo ubishi wenyewe nauongelea. Wewe unajua magari

Halafu mie ni mpenz wa Magari
Nna Land Cruiser mkonge kongwe balaa
Na nna Land Rover 110
Na Nissan Pathfinder najua utamu na kitonga ya Toyota aisee. Ndo maana nilipoona hiyo Defender 2020 nimemnyooshea mikono jamaa aliyeivuta fasta
 
Back
Top Bottom