Wabongo tuweni wastaarabu

mkadiriajimajenzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
551
Reaction score
618
Mtu katafuna karanga za kuchemshwa kwenyebasi la kasi maganda kayatupa chini ya siti ..lol
 
Yeuwiiiiiii auwiiiiiiii yeueiiiiiiii auwiiiiiii, au nicheke jaman yeuwiiiiiii auwiiiii
 
Wabongo somo la ustaarabu majority walipata zero...!
 
Hizo basi zina sehemu ya kutupia uchafu kwani?
 
wamewah kuwaletea vtu hivyo bado hawaja starabika
 
Halafu ukute huyu huyo aliyetupa hayo maganda ya Karanga akipanda tena hilo basi anaweza kulalamika kua "Hili basi chafu sana aisee hawasafishi" Somo la house keeping ni muhimu sana, good housekeeping lead to safety.
 
Mtihani huu upo mpaka ughaibuni, wengine wanaingia na "vicontena" vya pilau,pepper soup, chips etc. Bus zima linanukia chakula
 
Usafi si jumamosi jamani? Na huwezi safisha kama si pachafu
 
Kuna haja ya kufunga camera kwenye mabasi ili mkosaji kama huyu picha yake iwekwe hadharani na kama akipatikana basi achukuliwe hatua husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…