Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,180
- 29,914
Mimi sijui mpira ulinifanye, mpk nasoma uzi huu sijui hata matokeo ya mechi ya leo
Usijali. Mechi haijaisha bado
Kuna watu wanaugua kwa mpira wa Yanga na Simba.Mimi sijui mpira ulinifanye, mpk nasoma uzi huu sijui hata matokeo ya mechi ya leo
Mbebeni mkuu,ana uchungu wa kufungwaKuna jamaa mtu mzima wa utopolo kakaachini analia,tushambembelezaa wee mpaka basi.anasema nguvu za kutembe hana,sasa sijui tumsaidiaje?
ni MUNGU katujaalia,amani,undugu,kuvumiliana,na umoja wetu ndivyo vinavyotufanya tufaidi yote hayo,Sasa naamini, ukitaka kuwateka Watanzania, basi wekeza katika mpira.
Mi na mpira mbali mbli.
Jana tulikuwa na ucha wa kumpata mgombea wa urais kupitia CCM.
Hata alipoteuliwa Mh JPM nderemo ziliishia ndani ya ukumbi
Leo Yanga kapigwa goli 4 kwa moja alilomfunga Simba, nderemo ni kila mahali na jirani yangu hajaaca kupiga vuvuzela toka mpira ulipomalizika moja hivi.
Hivi Simba na Yanga wakigombea urais itakuwaje?
Nafikiria tu!
Kweli kabisa ccm wamekuwa hovyo na wasaliti wa watanzania.Huko ndio furaha ya Wabongo ilipobakia. Tusiwabane au hata kuwashangaa kwenye hili la kupenda mpira. Tuwaache Watanzania wawe na pakutolea stress
Mkodie taxKuna jamaa mtu mzima wa utopolo kakaachini analia,tushambembelezaa wee mpaka basi.anasema nguvu za kutembe hana,sasa sijui tumsaidiaje?
Nilikodei tax litopolo.any way kuna lenzie lilimkodia bodaboda.Mkodie tax