Wabongo kwa kushangaa!!!!!

Wabongo kwa kushangaa!!!!!

HGYTXK

Senior Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
194
Reaction score
71
Chikokoti..jpg

"Sasa nyinyi mnanishangaa nn,mbona mm ni mfupi kuliko wote kwenye familia yetu".
 
Huyo dada referee kwato zake zimeniacha hoi!!!
 
Kwani kuna mwanamke hapo jamani mbona mmetuchoka hivi?

Kushoto mwa Shikokoti huyo ni dada bana si unajua huwa wanafanya mazoezi sana hawa ndio maana mnashindwa kutofautisha.
 
Back
Top Bottom