Wabongo kiboko!

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
7,141
14,687
wabongo.jpg
 
Nakumbuka kulikuwa na jamaa temeke alikuwa na mke.. Ila maisha yake hayakuwa mazuri na alikuwa anatembelea kucha daily.. Sasa mdogo wake alipiga jangusho ulaya akamtumia kaka yake hela.. Jamaa si akaoa mke wa pili lol.. Hao ndo wabongo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom