Kuna familiy day moja wiki kama 2 hivi nilihudhuria lol.....aah sijui nani aliwafundisha kucheza woote kimstari mstari.....afu sasa hamna anaekosea woote wanapatia stepu moja mbele mbili nyuma....moja kushoto aaala......wakiinuka wanainuka wote....na kwenye maharusi inachezwa sana......Ofsini kwetu tupo zaidi ya mia 2 siku ya family day anzia ceo kwenye kwaito raha sana
yoyo tuipige wapi wawili?
Kwaito ni bonge la music....ila hi ya kibongo bongo kucheza kwa kuigizana bana....Niliwakuta wanangu juzi wamejifungia chumbani wanacheza hiyo kitu, huku wameweka kioo kikubwa ukutani!...Ukiwauliza Lizombe na Lingoma za kwetu Songea!
hukuniona kwenye msitari YOYO? MAISHA NI MAGUMU SANA yoYO especially hapa tz sometimes ni vizuri kujiachia maana shida haziishi hata ukisema uconcetrate nazo masaa 24.so mimi mambo ya kujiachia ivo ndo zanguKuna familiy day moja wiki kama 2 hivi nilihudhuria lol.....aah sijui nani aliwafundisha kucheza woote kimstari mstari.....afu sasa hamna anaekosea woote wanapatia stepu moja mbele mbili nyuma....moja kushoto aaala......wakiinuka wanainuka wote....na kwenye maharusi inachezwa sana......
KIboko aisee niliikuta bilicanas......napenda kwaito..hasa za tkzee.....ila hii ya kucheza sare hata siikubali....imagine bilicanas kulipangwa mistari 4 watu wanainama wanainuka kulia kushoto....
Staili ya watu wala hamjuani,hamkusalimiana wakati mmekutana, lakini ngoma ya Kwaito ikipigwa mnajipanga mnacheza pamoja kwa ustadi, nani amewafundisha? na ule mshikamano mnaouonyesha pale mngekuwa mnauonyesha katika kupinga kudorora kwa shilingi serikali ingekuwa imeshaondoka madarakani. style gani ile.....mnainama... wanasogea hatua mbili kushoto, wanarudi nyuma,......wabongo bana...
Tatizo la wabongo mnajua kucheza tu,lakini kufanya kazi na kusimamia rasilimali zenu zero,mtaishia kucheza tu wenzenu wanapiga kazi mfano Rwanda na Kenya.Mnapenda sana kulalama na kuiga mambo msiyoyajua.
yaani mi mume wangu ndo alinifundisha anaiweza balaa njoo akufundisheNakuelewa fika
Mie wananiuzi sababu sijui kucheza
Kwa hiyo kwaito ikipigwa wananirudisha kwenye kiti
I hate it
Japo nafurahi kuwatizama
Na wewe ni kati ya wasiojua kuicheza?
yaani mi mume wangu ndo alinifundisha anaiweza balaa njoo akufundishe
ngoja nimuite hapa rejaooooooooooooooooooooooooooo njoo switiiiiiiiiiiTeh teh teh
Kuanzia kiunoni hadi magotini eeh!
Sawa naja
Tuandalie uwanja kabisa
yule mbeba box nimeweka oda vp chair?Mambo yote iko kwenye mduara bana.