Ni makaburi yaliyo nyuma ya Tamco Kibaha nilivyosimuliwa majuzi nikitokea Vikawe Marehemu pia alizikwa na kiasi kikubwa cha pesa na simu zake za gharama 3,na huenda hiyo ndio ilichangia sana kuwavuta wahalifu ingawa ndg hawasemi kua alizikwa na pesa kuepuka mkono wa sheria lkn kwa mujibu wa mkazi wa maeneo hayo alivyotusimulia marehemu pia alivuliwa suti alovishwa yaani jamaa walimuacha na boxer na sanda tu!dunia hii