Hao wezi wanastahili kupongezwa
ni ujinga mno kumzika mtu na vitu vya thamani..
ujinga kabisa
Mtaji mkuu, mtaji.Hao wezi wanastahili kupongezwa
ni ujinga mno kumzika mtu na vitu vya thamani..
ujinga kabisa
Mimi napita tu wadau maana haya mambo ni magumu!!
duuuuu!!! watu wanapataga wapi ujasiri wa kucheza na maiti??