Mkeshahoi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 2,469
- 281
Kwanza, neno baunsa amablo linatokana na neno "bouncer" umelitumia visivyo. Ingia kwenye kamusi usome maana yake.
Pili, hayo unayosema wewe, hasa kwa Tanzania yatakuwa maumbile zaidi kuliko transformation iliyosababishwa na kunyanyua vitu vizito kwenye sehemu ya juu ya mwili (upper body). Kwenye genetic body types kuna endomorph, mesomorph, na ectomorph (kama sijakosea). Naweza kwenda kwa undani zaidi kuhusu hili kama utapenda lakini ninachotaka kusema ni mwamba kuna watu walio top heavy na nadhani hawa ndio hasa wewe unawaongelea.
Na hakuna madhara yoyote ya kiafya yatokanayo na kunyanyua vitu vizito. Hiyo ni dhana potofu tu. Nitarudi baadae kwa undani zaidi.
NB: Mimi ni certified personal trainer na ninayajua haya mambo nje ndani. Kuna a lot myths out there.
Mkuu, nahitaji hiyo Elimu ya kukakamaza misuli mwili, hasa ya miguu, na kukata tumbo(sihabikii six pack) na mgongo. Nifanyeje?!