Wabeba lawama tukutane hapa!

Bora lawama mkuu kuliko kusaidia watu ambao hawana msaada na wewe maana ukijifanya mwema sana kwa kuwasaidia mwisho wa siku ni ngumu kumridhisha binadamu akaridhika na utaishi maisha yasiokuwa na furaha milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…