Ukimwambia pengine na wewe una hali mbaya basi urafiki unaishia hapo, ananuna na hautamuona tena.
Play in your limits mkuu fanya unalo ona ni sahihi , fanya kinachokupa furaha wewe sio wengine, wakishindwa kuendana na itikadi zako isiwabembeleze waache waende, ulikuja duniani mwenyewe utaondoka duniani mwenyeweWakuu bila shaka ni wazima, bila shaka wote tunaelewa maisha yalivyojaa changamoto za kila aina.
Kuna watu ni wepesi kueleza yale yanayowasibu, ila kuna akina sisi ambao huwa tunakufa na tai shingoni!
Kifupi kwa upande wangu sina maisha hayo ambayo ndugu na jamaa wanayafikiria, lakini lawama zimekuwa haziishi kwamba sina msaada wowote kwao ihali mwanzo nilikuwa nawapiga tafu pale inapowezekana.
Hapa karibuni kuna hali imenishtua unakuta mtu mzima tena mwanaume, mkizoena kidogo tu anataka umpe hela, mi huwa najiuliza mbona mimi huwa napambana na ya kwangu mwenyewe, hawa wanaahindwa vipi, na sio kwamba mtu anataka kukopa hapana anataka apewe bure bure tu.
Ukimwambia pengine na wewe una hali mbaya basi urafiki unaishia hapo, ananuna na hautamuona tena. Vipi nyie mnakabiliana vipi na hawa watoa lawama, maana kuna muda huwa nakuta wananivuruga kabisa, tena kipindi hicho unakuta na mimi mambo yangu mengi hayaendi kabisa.
Kuna mambo yanastaajabisha sana aisee!Kuna jamaa alinitumia mkeka mrefu una bajeti ya mtaji anaohitaji ili afungue biashara yake kwahiyo anaomba nimpe hela (sio kukopa eti nimpe tu kumsapoti) aisee nilistaajabu sana. Nilimpotezea akanichunia naona juzi tena katuma sms ndefu ya lawama na maombi juu
Mambo nishapitiaga mkuu.Wakuu bila shaka ni wazima, bila shaka wote tunaelewa maisha yalivyojaa changamoto za kila aina.
Kuna watu ni wepesi kueleza yale yanayowasibu, ila kuna akina sisi ambao huwa tunakufa na tai shingoni!
Kifupi kwa upande wangu sina maisha hayo ambayo ndugu na jamaa wanayafikiria, lakini lawama zimekuwa haziishi kwamba sina msaada wowote kwao ihali mwanzo nilikuwa nawapiga tafu pale inapowezekana.
Hapa karibuni kuna hali imenishtua unakuta mtu mzima tena mwanaume, mkizoena kidogo tu anataka umpe hela, mi huwa najiuliza mbona mimi huwa napambana na ya kwangu mwenyewe, hawa wanaahindwa vipi, na sio kwamba mtu anataka kukopa hapana anataka apewe bure bure tu.
Ukimwambia pengine na wewe una hali mbaya basi urafiki unaishia hapo, ananuna na hautamuona tena. Vipi nyie mnakabiliana vipi na hawa watoa lawama, maana kuna muda huwa nakuta wananivuruga kabisa, tena kipindi hicho unakuta na mimi mambo yangu mengi hayaendi kabisa.
Usiwatilie maanani, huwezi saidia kila mtu kila wakati. Na hata ungeweza kufanya hivyo, bado lawama huwezi kuziepuka. Binadamu huwezi kuturidhisha mkuu.Shida kuna watu wanaamimi mtu unazo muda wote, na usipowapa ni roho mbaya na umewanyima tu, kitu ambacho sio kweli!
Yeye hata kama asipozikwa ataweza kuwalalamikia kuwa hawajamfanyia fare?Tunaishi Mara 1 Mzee wangu ISHI ili UFE unaweza ukafa KESHO hao HAO unawanyima TAG ndio watakaokuchimbia Kaburi hao HAO unawanyima ndio watakaoanza kuzunguka kutafuta Pesa za michango kwa ajili ya Sanda na Jeneza lako wakati HUO Wewe umelala usingizi mzito wa KIFO, that's all
GNya'al
Na wao watachimbiwa kaburi na nani, mbona hela zao hawagawi?Tunaishi Mara 1 Mzee wangu ISHI ili UFE unaweza ukafa KESHO hao HAO unawanyima TAG ndio watakaokuchimbia Kaburi hao HAO unawanyima ndio watakaoanza kuzunguka kutafuta Pesa za michango kwa ajili ya Sanda na Jeneza lako wakati HUO Wewe umelala usingizi mzito wa KIFO, that's all
GNya'al
naunga mkono hoja yakoYeye hata kama asipozikwa ataweza kuwalalamikia kuwa hawajamfanyia fare?
Laiti mfu angekuwa anaweza kulalamika basi hili unalosema tungeweza kulizingatia.
MAJIBU ya Jeuri na kiburi cha Uzima, kwani kwenye 1000 ukitoa 100 unapungukiwa na nini?Na wao watachimbiwa kaburi na nani, mbona hela zao hawagawi?