wabaongo bana!!

wabaongo bana!!

mtamanyali

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,161
Reaction score
616
[h=6]kulikuwa na mmarekani ,mkenya na mtanzania maongez yalikuwa hiv
mmarekan :sisi kwetu kuna maghorofa marefu sanaa
mkenya:yanafika mbinguni?
mmarekan:kwa chini kidoooogo
mkenya nae:sisi kwetu kuna mlima mreeefu
:mtanzania:unafika mbinguni?
mkenya:kwachini kidooogo
mtanzania:sisi kwe3 watu wanakula kwa kutumia pua
mkenya na mmarekan:aaaaa bwana acha fiksi hizo
mtanzania:kwa chini kidogo.wenzake hoi

[/h]
 
na hivi ndivo vituko uswahilini
 
Hahahahah...nimekusoma mkuuuuuuuuu.
Ila honestly mara ya kwanza nimesoma sikuelewa ujue....teh teh teh....
 
Umetisha mdada
dah! nimekuwa mdada mm, acha masihara ndugu mm sio mdada bana. Jf huwa hawaiti makaka wala mdada kwani sio rahisi kujua jinsia kutokana na majina tunayo tumia.
 
Back
Top Bottom