kuwa na smartphone unakuwa umevuka steji ya kuwa na huelewa.Habari zenu wadau.
Leo naomba kujua ukweli hasa kuhusu [wabantu] chimbuko lao na na asili ya neno WABANTU. kwa sababu inasemekana kwamba katika makabila zaid ya 120 yaliyopo Tanzania ni kabila moja ndiyo kabila zawa la tanzania. Makabila mengi yote yamekuja kwa sababu mbalimbali.
I stand to be corrected.
Wikipedia siyo source ya kuaminika boss wangu. Wala usiitumie kama reference. Hata mimi naweza nikaedit nikaandika yangu.kuwa na smartphone unakuwa umevuka steji ya kuwa na huelewa.
kama uliweka kudownload jamiiforum app na zengine tafuta na wikipedia
link Lugha za Kibantu - Wikipedia, kamusi elezo huru
hata mimi nikikuandika hapa utakuwa umeniamini.kuwa muelewa mpaka kitu kimekuwa nyota 5 na kuwa top ujue kinamapitio na kuakikishiwa kwa asilimia.unakuwa na mwangaza na kupita kupata source ya utafiti.Wikipedia siyo source ya kuaminika boss wangu. Wala usiitumie kama reference. Hata mimi naweza nikaedit nikaandika yangu.
Duniani hakuna source ya kuaminika. Kila source inahakikiwa.Wikipedia siyo source ya kuaminika boss wangu. Wala usiitumie kama reference. Hata mimi naweza nikaedit nikaandika yangu.
[emoji23] [emoji23] we ni mbongohata mimi nikikuandika hapa utakuwa umeniamini.kuwa muelewa mpaka kitu kimekuwa nyota 5 na kuwa top ujue kinamapitio na kuakikishiwa kwa asilimia.unakuwa na mwangaza na kupita kupata source ya utafiti.
tatizo letu kuna vitu vingi hatu vijui hata kuchanganua mpaka mtu hakueleze hapo hapo.utakuta mtu unamuuliza kitu chochote ajui wakati hapo hapo kashika simu ana internet ni sawa na kuulizwa saa ngapi ukasema ujui wakati una simu ina saa.
una kideo chake mkuu??? heheWabantu ni demu mmoja striper wa south
anaitwa Zodwa Wabantu
anacheza hatari[emoji23][emoji23][emoji23]
ndiouna kideo chake mkuu??? hehe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Fika kituo cha karibu yako upimwe mkojo[emoji23]
ndio
Wabantu ni demu mmoja striper wa south
anaitwa Zodwa Wabantu
anacheza hatari[emoji23][emoji23][emoji23]
Yule Demu kanyimwa sura tu, manake na yale maguu yake angeringa sanaWabantu ni demu mmoja striper wa south
anaitwa Zodwa Wabantu
anacheza hatari[emoji23][emoji23][emoji23]
Wasukuma mikokoteni au baiskelUkijibiwa na mimi nisaidiwe maana ya wahenga, maana naskia katika makabila 120 wahenga ni wasukuma tuu wengine ni immigrants tuu!