waathirika wa ukimwi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

waathirika wa ukimwi!

Discussion in 'JF Doctor' started by bacha, Aug 26, 2010.

 1. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  jamani naomba mnisaidie hili dukuduku nililonalo.Je,mtu alie na HIV na ambae anaendelea kumeza dawa (ARVs) anaweza pia akawa anakunywa pombe bila kupata madhara?tulio wengi tunaelewa kabisa mfano kama mtu unaumwa malaria na uko ndani ya dozi basi hutakiwi kunywa pombe!je,kwa case hiyo ya muathirika wa ukimwi inakuwaje?
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,381
  Likes Received: 3,141
  Trophy Points: 280
  huyo ni kama wagonjwa wengine kwa hiyo kiafya unashauriwa kutojihusisha kabisa na ulevi..........
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hawashauriwi kunywa pombe lakini sababu kubwa ni interaction na mtu kukosa dawa

  Hivyo wengine hawawezi kuacha na huwa wanaambiwa wawe waangalifu
   
Loading...