iweke vizuri mbona hujamalizia kaka/dada?
Nadhani ungeuliza kama chama hicho kitatawalika bila michango yao haramu, kwani nchi ni kubwa mno na inaweza survive bila wao!Yawezekana ama kweli wameanguka kisiasa au ni mchezo wa kuigiza. Vyovyote ilivyo, kuna mabadiliko katika maisha yao ya kisiasa na kiuchumi na uwezo wao wa kuwezesha mawakala wao wa kisiasa na kiuchumi.
Ni wazi, kuna wapambe wao wengi ndani ya chama tawala, upinzani na serikalini. Baadhi yao naamini walikuwa kipato chao pekee kinatokana na ukuwadi wao, uvuvuzela, kunusa taarifa na pengine kushulikia adui.
Baada ya mabadiliko yaliyofanywa ngazi ya juu ya ccm, naamini kwamba maisha na kipato cha hawa wapambe vitafifia. Baadhi wanaweza kuwa jobless (mfano, kuna watu tayari wameaga hapa janvini na wengine wanaonekana kubadili falsafa zao)
Je tunaweza kukisia ni watu wangapi wameathirika na mabadiliko haya na ni kwa kiwango gani? Je sasa nchi itatawalika?
iweke vizuri mbona hujamalizia kaka/dada?
Wana vibaraka wao ndani ya CC na NEC. Na bungeni pia.Wakiwa nje ya CC na NEC, na hawapo serikalini wataweza kufurukuta?
Nadhani ungeuliza kama chama hicho kitatawalika bila michango yao haramu, kwani nchi ni kubwa mno na inaweza survive bila wao!
Wakiwa nje ya CC na NEC, na hawapo serikalini wataweza kufurukuta?
Ilimradi wawe na pesa tu,mengine yatajipa.Japo hatuombei yatokee.
Yawezekana ama kweli wameanguka kisiasa au ni mchezo wa kuigiza. Vyovyote ilivyo, kuna mabadiliko katika maisha yao ya kisiasa na kiuchumi na uwezo wao wa kuwezesha mawakala wao wa kisiasa na kiuchumi.
QUOTE]
... mchezo ule ule wa kuigiza. Walioenguliwa washitakiwe mahakamani kwa tuhuma zinazowakabili. Vinginevyo ni USANII ule ule, kama zilivyo tuhuma zile na kesi katika mambo ya EPA n.k.
Tuhuma za jinai zishughulikiwe kisheria. Vinginevyo, narudia, USDANII mtupu!