Cally30
Member
- Mar 28, 2017
- 5
- 4
Kivuli cha neno UZALENDO kinaangazia zaidi watu masikini, huku kikiwapa watawala fursa ya kujineemesha.
Madaktari, Walimu na watumishi wengine wa umma na sekta binafsi mfano wakulima wakibebeshwa msalaba wa uzaledo.
Hakuna mtawala anayeshiriki ktk kuubeba msalaba UZALENDO. Fikra na AKILI zao zimelenga kutufanya tusitoke shimoni, tukose afya ya mwili na akili ili mambo yao yawe sawa.
NI Mbunge gani angepewa hata kama ni milioni 2 kwa mwezi angekaa pale!!.Tunapo hamasisha uzalendo kwa pamoja tujali maslahi ya kila nafsi.