Waasi wasiopungua 50 wauawa Kaskazini mwa Msumbiji

wameingia Mozambique sijapata hizo hbr mkuu tulisikia JWTZ wapo mipakani tu ila kwamba wameingia Moza sijasikia inawezekana nyusi kayajenga ya mkulu mana hali ilikuwa tete hawa waasi walijipanga sana washaua raia wakutosha sana bila kusahau majeshi na police wa moza wamekufa sana
na kilichokuwa kimebaki ni kuingia eneo ilipo kazi ya mgodi wa mafuta na gas nadhani ndo ilikuwa target yao kuu japo wengine wanasema ni siasa tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila tusiende Mogadishu tu mkuu.
 
Na wangeingia kwenye mafuta ingekuwa kama kule Nigeria mkuu.
 
Mkuu nikupe pongezi kwa kuchagua kufanya kazi ya kuilinda nchi na mipaka yake, kwenye hili la ugaidi msicheke na mtu, bado tunakumbuka ya Amboni Tanga, Zanzibar na Kibiti. Hawa magaidi hakikisheni mnang'oa mpaka mizizi yake, hawa magaidi kama wanataka kuendelea na uhailifu wao watafute sayari nyingine ya kuendeshea shughuli zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama yule aliekuwa akijiita padri Sixths Kimaro. Alivyokutwa kwenye gari akimsodoma kijana mdogo. Na kesi yake mapadri wenzake wakahakikisha mfumo kristo unatamalaki kuizima ili kuendelea kuutukuza mchezo wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Shehe kutoka Same alikuwa na kazi ya kuvila vitoto vya kiume huko Arusha, mwishowe alifungwa. Hiyo ya Kimaro ilikuwa haina ushahidi kwani hata aliyedaiwa kufanyiwa vile alikanusha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa ripoti za AU hilo kundi linajulikana kama ansar al sunna au swahili sunna. Huku kwetu walianza na vituo vya polisi nadhani mnakumbuka stori za Stakishari, na baadae likaibukia la Kibiti. Mungu alitupigania na umahiri wa vyombo vyetu vya usalama tukamudu hali zote na sasa tuko shwari, tuwe walinzi wazuri wa jamii zetu hasa kusaidia vyombo vya usalama kutoa taarifa pale tunapoona chanzo fulani maana hao jamaa wanaongea lugha yetu kwa ufasaha sana ili hali wanaweza kuvuka huku kwetu bila kuwajua mapema, nadhani kwa wanaofuatilia habari mlisikia vilio vya wavuvi Mtwara na wakazi wa vijiji vya jirani na mipakani hadi IGP Sirro akaenda kufuatilia.

Ushauri wangu kwa vyombo husika hapa nchini pia mchukue tahadhari kwa viongozi au vikundi vya dini vinavyo jaribu kupaka uupuzi kwenye akili za wengine hasa mabarobaro/vijana. Kenya waliweza kumfuatilia Sheikh abdu rogo na makala zake za uchochezi, Uganda akina Sheikh kamoga na karibia maeneo ya Congo akina jamil mukulu , dusmas sabuni wameshadhibitiwa.

NB: Tuwe walinzi wa kwanza wa Taifa letu kupinga uhalifu, tukichukulia mzaha tutashudia mengi. Mungu azidi kumbariki Raisi wetu, Taifa letu pamoja na Afrika nzima. Tunaangamia kwa kukosa maarifa.
 
kuingia eneo ilipo kazi ya mgodi wa mafuta na gas sio lengo lao.
Hao mbwa ndio walinzi wenyewe haswa wa hio migodi ya mafuta na gesi, mabeberu wangese sana.
Wanatengeneza makundi ya kigaidi kwa lengo la kuwatia hofu na muanze kupigana na kuuana wenyewe kwa wenyewe halafu wao wanajibebea rasilimali zenu kiulani kabisa.
Walaaniwe mabeberu pamoja na vibaraka wao popote pale walipo,
Itikieni Ameen……
 
Amen mkuu hapa kuna kaukweli flani maana tangu wameanza washaingia wilaya karibu 5 lkn kwnye wilaya ulipo mgodi hawajagusa kabisa na kszi inaendelea bila shida hii issue inautata sana dah
 
Amen mkuu hapa kuna kaukweli flani maana tangu wameanza washaingia wilaya karibu 5 lkn kwnye wilaya ulipo mgodi hawajagusa kabisa na kszi inaendelea bila shida hii issue inautata sana dah
Kuna mtu atakwambia Mungu wabariki wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…