Waasi Libya walivyotumia teknolojia ya kisasa kumsambaratisha Gadafi

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,898
drone.jpg


After anti-Gadhafi forces were snubbed by NATO, they turned to the Internet for a surveillance drone.


Angalia video ya surfeillance drone hapo chini


Aeryon Scout UAV in use with the Libyan Rebels - YouTube
 
Mbona umedanganyiko kirahisi hivyo.Huoni kwamba hizo ni moja ya malengo ya mataifa ya magharibi tu.Kutangaza na kuuza bidhaa zao.
Hiyo drone unajuwa wameipata lini.Wanasema inaruka umbali wa maili mbili tu.Kweli ndude hiyo itapambana na jeshi na wananchi wanaomuunga mkono Ghadafi walioenea jangwa lote la Libya.
Ghadafi amesambaratishwa na NATO kutokana na ukimya wa dunia.
 
Mbona umedanganyiko kirahisi hivyo.Huoni kwamba hizo ni moja ya malengo ya mataifa ya magharibi tu.Kutangaza na kuuza bidhaa zao.<br />
Hiyo drone unajuwa wameipata lini.Wanasema inaruka umbali wa maili mbili tu.Kweli ndude hiyo itapambana na jeshi na wananchi wanaomuunga mkono Ghadafi walioenea jangwa lote la Libya.<br />
Ghadafi amesambaratishwa na NATO kutokana na ukimya wa dunia.
Uko sawa Mkuu!
 
Back
Top Bottom