Waarabu wanatisha Aise! Ndio walipofikia

View attachment 3324404

⚖️ Umoja wa Falme za Kiarabu umetangaza kuwa utatumia Al kusaidia kuandika na kusasisha sheria zake, na kuifanya kuwa nchi ya kwanza kufanya hivyo.

💭 UAE imeunda chombo kipya cha serikali kiitwacho Ofisi ya Ujasusi wa Udhibiti. Ofisi hii itatumia Al kuandaa sheria mpya, kurekebisha sheria za zamani, na kufuatilia jinsi sheria zinavyoathiri watu na uchumi. Lengo ni kuongeza kasi ya utungaji sheria kwa hadi 70% na kupunguza gharama kwa 50%.

💭 Mfumo huu itaunda database kubwa ya sheria, maamuzi ya mahakama na huduma za umma. Al atachanganua data hii ili kupendekeza mabadiliko na maboresho ya kisheria. Pia itafuatilia jinsi sheria inavyoathiri maisha ya kila siku na kupendekeza masasisho inapohitajika.

⚙️ UAE imekuwa ikiwekeza sana katika teknolojia ya AI. Mnamo 2017, ilimteua Waziri wa kwanza wa Ujasusi wa Artificial duniani. Nchi hiyo pia inaunga mkono hazina ya miundombinu ya AI yenye thamani ya dola bilioni 30.

⚠️ 𝙒𝙖𝙩𝙖𝙖𝙡𝙖𝙢𝙪 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙤𝙣𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙬𝙖 𝘼𝙄 𝙞𝙣𝙖𝙬𝙚𝙯𝙖 𝙠𝙪𝙛𝙖𝙣𝙮𝙖 𝙢𝙖𝙠𝙤𝙨𝙖 𝙖𝙪 𝙠𝙪𝙥𝙚𝙣𝙙𝙚𝙠𝙚𝙯𝙖 𝙨𝙝𝙚𝙧𝙞𝙖 𝙖𝙢𝙗𝙖𝙯𝙤 𝙝𝙖𝙯𝙞𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙖𝙣𝙖 katika maisha halisi. Wanasisitiza haja ya uangalizi wa kibinadamu ili kupata makosa na kuhakikisha haki.
Kwani zamani ilikuwaje mpaka hii ionekane ajabu?
 
Ile ni nchi ya Ki

arabu lakini si ya Kiislamu. Ungeweza kutofautisha hapo tu usingeuliza hili swali lililokuja kwa njia ya Kejeli.
Nchi ya kiislamu ni ipi?

Kama hao waarabu wa dubai siyo waislam?
 
AI ni watu, kwasabb inaendeshwa na mifumo iliyoundwa na watu.

Mleta mada unaonekana unaitazama AI kama kitu fulani hivi from de novo.
Kuna kitu kwenye AI kinaitwa machine learning, hiki kinafanya Ai kutambua na kusoma pattern kisha kufanya prediction au maamuzi hata bila ku progamiwa, mfano unapo fanya online marketing ya aina fulani ya vitu Ai inanza kukuletea machagua yanayoendana na manunuzi yako au kama tik tok inavyofanya kukuletea videos unazopenda kuangalia, facebook inavyokuletea friend suggestion za watu ambao unawajua, hivyo Ai inaweza kujifunza hata bila kuprogamiwa
 
View attachment 3324404

⚖️ Umoja wa Falme za Kiarabu umetangaza kuwa utatumia Al kusaidia kuandika na kusasisha sheria zake, na kuifanya kuwa nchi ya kwanza kufanya hivyo.

💭 UAE imeunda chombo kipya cha serikali kiitwacho Ofisi ya Ujasusi wa Udhibiti. Ofisi hii itatumia Al kuandaa sheria mpya, kurekebisha sheria za zamani, na kufuatilia jinsi sheria zinavyoathiri watu na uchumi. Lengo ni kuongeza kasi ya utungaji sheria kwa hadi 70% na kupunguza gharama kwa 50%.

💭 Mfumo huu itaunda database kubwa ya sheria, maamuzi ya mahakama na huduma za umma. Al atachanganua data hii ili kupendekeza mabadiliko na maboresho ya kisheria. Pia itafuatilia jinsi sheria inavyoathiri maisha ya kila siku na kupendekeza masasisho inapohitajika.

⚙️ UAE imekuwa ikiwekeza sana katika teknolojia ya AI. Mnamo 2017, ilimteua Waziri wa kwanza wa Ujasusi wa Artificial duniani. Nchi hiyo pia inaunga mkono hazina ya miundombinu ya AI yenye thamani ya dola bilioni 30.

⚠️ 𝙒𝙖𝙩𝙖𝙖𝙡𝙖𝙢𝙪 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙤𝙣𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙬𝙖 𝘼𝙄 𝙞𝙣𝙖𝙬𝙚𝙯𝙖 𝙠𝙪𝙛𝙖𝙣𝙮𝙖 𝙢𝙖𝙠𝙤𝙨𝙖 𝙖𝙪 𝙠𝙪𝙥𝙚𝙣𝙙𝙚𝙠𝙚𝙯𝙖 𝙨𝙝𝙚𝙧𝙞𝙖 𝙖𝙢𝙗𝙖𝙯𝙤 𝙝𝙖𝙯𝙞𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙖𝙣𝙖 katika maisha halisi. Wanasisitiza haja ya uangalizi wa kibinadamu ili kupata makosa na kuhakikisha haki.
Mbona hata sisi tunatisha? Hukusikia jeshi letu la wananchi wameanza mradi wa kupasua kokoto!
 
Kuna kitu kwenye AI kinaitwa machine learning, hiki kinafanya Ai kutambua na kusoma pattern kisha kufanya prediction au maamuzi hata bila ku progamiwa, mfano unapo fanya online marketing ya aina fulani ya vitu Ai inanza kukuletea machagua yanayoendana na manunuzi yako au kama tik tok inavyofanya kukuletea videos unazopenda kuangalia, facebook inavyokuletea friend suggestion za watu ambao unawajua, hivyo Ai inaweza kujifunza hata bila kuprogamiwa
Programing inaanzia kwenye utengenezaji wa software yenyewe. Siyo lazima mtu ashike remote ndiyo ionekane kuwa programing inafanyika. Hayo yote unayotolea mfano yako kwenye software.
 
ndio kusema uislam basi tena katika nchi hiyo ya kiislam?
Waislam wa tz wazee wa kukana dhambi wanasema hao siyo waislam

Nimewauliza wanitajie inchi ya kiislamu tofaut na hiyo naona kimiya

Lakini ingetokea wakaikataa technology hiyo wangesifiwa sana kama nchi ya kiislamu
 
hawa waislam wetu huwa ni wabishi ukiwaambia hali ya uislam ulikoanzia wanaachana nao wanabisha. Sisi ni watanzania waafrika hebu tusibishane kwa tamaduni za mataifa mengine. Kama waislam asilia wenyewe wanaachana na imani hiyo inakuaje we mtanzania wa madongokuinama ulete chuki za kidini, huo si ni ujinga?
 
Namkubali sana Sheikh Mohammed Bin Rashid, hasa kwenye mambo ya teknolojia. Ni kiongozi mwenye kudhubutu.
Puppet yule mkuu. Anawachukia warabu wenzie na kujikaribisha kwa wamagharibi. Ipi siku watamponda ponda ndio atajua wazungu sio.
Warabu hawana teknolojia yoyote ya maana wana ufahari wa pesa za mafuta.
 
Back
Top Bottom