Waandishi wetu huchapia tu!

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Nimekamata gazeti la mwananchi la leo ukurasa ule wa 11 nikakutana na kichwa cha habari " Waandishi wakaribia kileleni" Ikanivuta kusoma! Da jamaa yangu Daniel Mjema anasema Gabriel Zakaria amefika urefu Wa KILOMETER 3,720 toka usawa Wa bahari. Kama ni kweli basi atakuwa binadamu pekee aloweza kutembea umbali huo!
Wahariri na Waandishi pitieni kazi zenu kabla ya kukurupuka na kiandika vitu visivyokuwepo. Yalompata Flora Wingia ni aibu tosha. Kuweni makini.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom