hivi niulize wakuu,leo Mh.SLAA ilikua ni press conference au mkutano,maana waandishi wa habari naona kama walikua wakisuport na KUPIGA MAKOFI KABISA,je hii ni Taaluma kwa wanahabari??? au ndio ushabiki na kutokujua wajibu wa kazi zao.
Mungu mlinde Slaa
Mungu mpige Slaa laana kwa kudharau Wanyonge, kusema uongo, unafiki na kupokea Rushwa.
Muda mwingine mtu anashindwa kujizuia pale jambo analo amini au hakutarajia linasemwa nakujikuta anafurahi "kama vile mtazamaji".Lakini pia maadili ya kazi kutotiliwa maanani. Hata maswali ya baadhi ya waandishi yalikuwa na elements za ushabiki na jazba.