Waandishi mnazingua mjue....

Wameediti ..ukisoma maandishi ya ndani hayaendani ni habari tofauti.....waandishi wetu wa habari mnakazi kweri kweri kukanusha vitu kama hivi
 
Someni vizuri kwani hapo Juu kabla ya kuandika hicho kichwa cha habari kuna maneno "saa tisa usiku kitandani mwangu" kwa ivo kilichoandikwa hapo ni kama mwandishi anaelezea alichoota ama kuwaza usiku wa manane!!
 
Na leo asubuhi sa 11 nimeisikia nyimbo ya roma Zimbabwe kwenye radio kubwa tu Tz. Nkabaki nacheka maana kama niliwaona mabosi wa TCRA muda ulee, sijui wameshapigwa baruaa??
 
Linamilikiwa na Musiba hilo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…