Waandishi Mizigo

Waandishi Mizigo

idoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
3,051
Reaction score
1,423
vipi mama, unaandika habari au unaota? ndo tuseme maneno ya maghembe yanakubembeleza au?
waziri-maghembe.jpg

Waziri wa Maji, Prof Jumanne Maghembe akizungumza na waandishi wa habari wa gazeti hili,
walipomfanyia mahojiano
maalumu ofisini kwake mjini Dodoma, hivi karibuni. Picha na Emmanuel Herman
source: Mwananchi
 
Yaani nusura nizimei kwa kucheka na kuvunja mbavu kwa waziri na wanahabari hawa naona hii inchi kama gurudumu la la mkokoteni ni bora leindee tuu
 
Yaani nusura nizimei kwa kucheka na kuvunja mbavu kwa waziri na wanahabari hawa naona hii inchi kama gurudumu la la mkokoteni ni bora leindee tuu

bora liende itajulikana mbele ya safari.
 
Kama huyo mama ni mwandishi,basi picha hii ni nzuri sana na mfano bora kwa waandishi ikiwa na mfano wa mwandishi makini(kushoto kwa Prof Maghembe) na kulia kwake ni mwandishi mzembe kazini.
 
Back
Top Bottom