Waandamanaji wampinga Trump New Mexico

Babu wa Kambo

JF-Expert Member
May 2, 2016
559
808
13255971_978724348891907_561016169023307182_n.jpg

Waandamanaji wanaompinga mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump wamekabiliana na polisi katika jimbo la New Mexico.

Walikuwa wakiandamana katika eneo ambapo Bw. Trump alikuwa akifanya mkutano wake wa kampeni, nje ya ukumbi mkuu wa mikutano wa Albuquerque.

Wamerusha fulana zilizokuwa zikiwaka moto zilizokuwa zimeandikwa kauli mbiu za kampeni ya Trump pamoja na mawe na chupa za plastiki.

Polisi wa kukabiliana na fujo wametumia mabomu ya kutoa machozi na maji ya kuwasha kuwatawanya.

Chanzo : BBC Swahili
 
View attachment 350823

Huyu kwenye picha hapo juu si black vile
 
Hao waandamanji ni wanywa viroba, wavuta bangi na wabwia unga wananunuliwa na kupewa fedha na maadui wa D.Trump ili waandamane lkn mwisho wa siku wenye nchi wenyewe Wazungu wameshaamua na wanaitaka nchi yao!
 
Back
Top Bottom