Waambie wasishupaze shingo

Waambie wasishupaze shingo

Killing machine

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
2,374
Reaction score
3,395
Waangalie wapi walikosea waleke bishe

Kwani Chuki ya mwanzo dhidi yao imekuwa ndogo kuliko ya sasa

Kwani watu wame ibiwa, Watu wamefungwa, watu wame poteza kazi, watu wame poteza wapendwa wao,
na bado hawaja pata walicho kitaka

Hivyo hasira ya watu dhidi yao nikuubwa zaidi ya mwanzo

Waambie watambue jukumu lao nikuwa tumikia wanainchi sio familia zao Wala ndugu zao Wala wao binafsi wasili sahau Hilo na ndilo lililo tufikisha hapa tulipo fikia kwa kuli puuzia

Waambie mtaani Kuna amani Ila mioyo ya watu Haina amani hivyo wakawe wafariji wa mioyo ya watu hasa katika kipindi hiki kigumu kwa kutenda sawa na kiu za watu wao

Mwisho waambie wasiwa toze shuru Bali wawape bure miili ya ndugu zao wakawa zike kwa amani huo ndiyo uungwana

Mungu ibariki Tanzania Mungu wajalie hekima na busara viongozi wa Tanzania 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom