KUWEDA
Member
- Mar 5, 2013
- 41
- 6
Nimekuwa nikiexperience akinadada hasa hawa wanaojifanya globalization walitunga wao,wanapokuja ibaadani wanavaa nguo ambazo cc waumini wa kiume zinatupoteza mwelekeo ibaadani..utakuta mdada anakuja church kwanza amechelewa then viti(nafasi ya kukaa)vya akina mama vimejaa hvyo analazimika kukaa upande wa akinababa...sasa hyo sketi aliyovaa upaja wore uko nje,.kibrauzi amekurupua cha mdogo wake aliyemzidi Miaka 6..utafikiri ametoka sunsiro club akanyoosha kuwahi ibaada ya kwanza..sasa cc tunaokwenda kupunguza madhambi tunajikuta tunaongeza dhambi kwa kuvunja amri inayozuia kutamani..ukimtazama yeye walaaa.... ndo kwanza yuko bize anackiliza neno..WAAMBIENI DADA ZENU wacdhani wako under GLOBALIZATION bali wako under GLOBALWARMING..