Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Swala la kutuma nauli halafu mchumba haji ni wengi tu wamelia, ndio hivyo umejifunza. Wewe umeliwa pesa kidoga kuna watu tumeliwa nauli si mara moja na hata nauli za ndugu tulituma.
note:Demu kama kweli anataka aje mwambie atafute nauli yake utamrudishia, au akope pesa uko alipo akija utamlipia deni.
Duh, kuna wanaume wanapata shida jamani kha... #umbulula++
Heri ubaki bikra kama mimi...
Pole xana ndo watoto wa mujini haoooooooooooo