Jof3
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 661
- 318
Wanahitajika waalimu 2 wa masomo ya sayansi na hisabati kuanzia darasa la nne kushuka chini. Ni shule ya familia ya mtu binafsi kwa mwarabu mmoja kigamboni.
Mwalimu atapangishiwa Nyumba na kulipiwa umeme pamoja na chakula cha mchana. Mshahara maelewano.
Pia mwalimu wa mazoezi ya karate anahitajika, kama upo na unaweza kufundisha karate niPM namba yako utapigiwa.
Kwa waalimu tumeni documents muhimu kupitia email hii hapa chini
jafaribrahim988@gmail.com