Waalimu Waliopangwa kigoma vijijini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waalimu Waliopangwa kigoma vijijini

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by TASLIMU, Jan 20, 2012.

 1. TASLIMU

  TASLIMU Senior Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wenye shahada,Stashahada,astashahada(msingi) mnakaribishwa NYARUBANDA HIGH SCHOOL,
  1.tuna olevel na alevel
  2.pia kuna shule ya msingi
  3.barabara rami tu,mwendo wa nusu saa kutoka town to sites(nyarubanda)magar yetu n Noha na tax,
  4.wenyej wa hapa wanalima kahawa na ndiz(zipo nyingi sana)
  5.matunda meng sana,mananasi,parachichi,
  6.mboga za majani nyingi tu,njegere fungu miambili,viaz vitamu,mviringo kipindi cha msimu,
  7.mchele@1800,unga@1000,mafuta ya taa@2800,sukar@2700,
  8.nyumba za shule zimebaki 4
  9.umeme upo katika nyumba zote(usiku)
  10.mwambie na mwenzako
  SASA HIVI TUPO GRADUATE 5,Wa3 tupo tokea 2009,mmoja2010,mmoja headmaster(babu)amehamia disemba mwaka jana
  ,Njoo na blanket,sweta
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hapo namba 7 mbona ivo?
   
 3. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkuu TASLIMU nikuulize kidogo je tukifika Halimashauri tunaripoti kwa DED au Afisa Elimu? na je akinipangia ambako sitaki mfano umenishawishi nije Nyarubanda High Xkul nae akanipangia tofauti na hapo je si naweza mkatalia? N:B mimi ni Graduate,dadavu mkuu
   
 4. TASLIMU

  TASLIMU Senior Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unalipoti kwa afisa elimu,Sehemu nyingine kataa,mtishie unaondoka,au nikupe namba za afisa elimu kabisa
   
 5. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Vipi afisa elimu yupo social? Ngoja niku inbox tupeane contact kabisa
   
 6. TASLIMU

  TASLIMU Senior Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poa haina shida
   
 7. TASLIMU

  TASLIMU Senior Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Namba ya afisa elimu secondar kigoma vijijin. ni voda 0759430979,0784435119,na afisa elimu taaluma no.0755812552,muwambie nataka Nyarubanda high school,
   
 8. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkuu shukrani ntamtafuta huy mkuu
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  unataka umhonge ali asikupangie kushoto kushoto?
   
 10. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hapana huo ni mtizamo wako mkuu wala sio maana yangu kwa hyo hayo yako
   
 11. B

  Baba Dorcas Member

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ivi bado kuna wa2 wanahonga? Na wew unaependa kuhongwa sio uungwana, muungwana ni kioo cha jamii.
   
Loading...