Malick M. Malick
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 658
- 314
Nikianza .
Mimi ni mwalimu wa degree nikiwa nimesomea Education in science. Maisha ni marahisi sana walimu. Hasa walimu tukijitambua. Kivipi?, kazi ya ualimu hasa kwa waajiliwa serikalini inalipa sana, kwakuwa unapata nafasi nzuri ya kujihusisha na biashara nyingine wakati huohuo ukiwa ni mwalimu. Kuna mambo mengi unaweza fanya na ukatoka mapema kimaisha kuliko kutegemea ualimu utakuchukua muda mrefu kutoka. Mfano kwa wale wanaofanya kazi mjini wanaweza fanya biashara kama kuanzisha duka la vyakula au vyovyote, biashara ya spea za magari,baiskeri au pikipiki. Wapi utapata mtaji mwalimu,ni rahisi sana kwa mwalimu kwakuwa kuna instituition kibao zinatoa mkopo wala haziitaji uwe na kitu cha kueka rehani zaidi ya ajira yako. Ama walioko vijijini kule pia biashara inaenda ila kubwa jiingize kwenye kilimo mbona mambo yatakuwa poa mapema tu!. Kuna walimu kibao wanaendesha gari, wananyumba nzuri mjini na vijijini. Ee bwana akili kumkichwa ualimu unalipa haina haja kushinda kulalamika mshahara kwani hata upewe millioni na nusu kwa mwezi haitoshi mambo ni mengi. Ni hayo kwasasa karibuni kwenye field ya ualimu wala msiogope.

Mawazo haya ndio huwa nayapinga kila siku
Umesomea Ualimu Na unafundisha ila Hilo SIO linalokulisha Na kusukuma gurudumu lako la maendeleo Bali kikazi kingine "B" ndicho kinachokusukuma Basi wewe hukupaswa kuwa mwalimu Bali mfanya hiyo Biashara. Hata Kama una vijibiashara au vikazi vingine lazima vichukue only 20-25% of your accumulations lakini lazima Kazi mama iwe sterling kuendeshea maisha.
Kusema serikali inakupa mda-uji Wa Kufanya mambo mengine ni UZEMBE MKUBWA, thats why walimu hawajiandai vema Na matokeo yake ndio zero tunazoziona. Mwalimu huyo auze bajia, Maandazi, vitumbua Na aandae scheme of work Na ma lesson plan, apitie hadidu Za SOMO Na mifano hai yakinifu saa Ngapi??!???
TUSIDANGANYANE
Ndg zangu ualimu serkalin mtamu balaa!! ila tusiposhirikiana hatuwezi kutoka kamwe mm toka nianze kaz 2006 mpk leo laki tano siijui, nilichoamua toka 2008 nilipoenda kuchukua diploma sijarudi mpk leo nachukua dgree yang nakuchek utaratbu mwingine na salary nalamba kama kawa wakisimamisha nakula boom then naenda zangu private, ushenz gan huu nimechoshwa na hii serikali unaweza kufa ht baiskel hujamiliki.
Kweli kiongozi,ila tuweke wazi na changamoto jinsi ya kuzivuka
Mie sijapinga Mtu kufanya shughuli a and x sambamba lakini shughuli hiyo huwezi itegemea ikupe support pana ya maisha yako. Lazima Kazi mama ikupe heck ya 90%..Mkuu MKWELItu.
Ngoja nikueleze mkuu hivi haujui ni viongozi wangapi wanaspecialist zao lakini wanafanya kazi zaidi ya moja ambazo ni tofauti na fani zao?
Ukweli lazima tuuzungumze, ualimu pekee hauwezi kukutoa haraka kimaisha kama ilivyokuwa kwa watu wengine wenye kazi zaidi ya moja. Malesson plani, scheme of work unavitengeneza tena vizuri bila shida. Nilivyosema unafanya kazi yako pamoja ni nyingine sijamaanisha ukaingie shambani na kulima mwenyewe au kukaa dukani mwenyewe, kubwa ni mtaji ndio utaendesha kazi na wewe utakuwa mfuatiliaji tu. Mimi nayasema haya kwakuwa nayafanya na majukumu yangu yanaenda uzuri tu.
Pole sana,hata mm nataman sana kuacha hii fan coz sion mafanikio kabisa
Sijakuelewa.
Utamuelewa tu..............
Ila jamani, acheni tuuuuuuu.