Tuonyeshe kitu kimoja alichowafanyia walimu alivyokuwa waziri mkuu...wazee wa "kuishi kwa matumaini: bana..ah
Kumbuka .. SHEMEJI ..aliwaachaje???!!
Mkuu lowassa alionyesha mfano pale alipowachangia walimu kwenye mfuko wao pale kilimanjaro kiasi cha 1b kiasi hichi wala jk hajawahi weza japo amekaa madarakani miaka kumi
Mkuu lowassa alionyesha mfano pale alipowachangia walimu kwenye mfuko wao pale kilimanjaro kiasi cha 1b kiasi hichi wala jk hajawahi weza japo amekaa madarakani miaka kumi
Hiyo 1b aliitoa wapi?mbona wabongo tunajitoa ufahamu?
Katika mazingira ya kawaida ni wazi Lowasa ana mapenzi mema kwa waalimu na anao uwezo wa kiwaletea matumaini mema ya mishahara na mazingira mapya na mazuri na maisha bora kwa waalimu.
Waalimu mchagueni Mh.Lowasa kwa maisha ya matumaini na bora.
badilikeni walimu chaguo bora simmeliona?
Tuonyeshe kitu kimoja alichowafanyia walimu alivyokuwa waziri mkuu...wazee wa "kuishi kwa matumaini: bana..ah
wewe ndio unajitoa ufahamu swali lilikuwa aliwafanyia nini walimu wakati akiwa waziri na jibu ni kuwa aliwachangia walimu pesa, sasa nani anayetijitoa ufahamu mbona hueleweki?
Wabongo ni wepesi kusahau na hakika tutaendelea kuangalia karibu kwa kupewa fedha kutoka kwa watu na kuona wa maana wakati hela hiyo imetoka kwenye rasilimali zetu ambapo tunatakiwa tugawane wote.
kumbe walimu wa kilimanjaro lakini sio hatu aliowachangia pesa za kifisadi anarudisha pesa zetu alizoiba akiwa mkurungezi wa icc,Mkuu lowassa alionyesha mfano pale alipowachangia walimu kwenye mfuko wao pale kilimanjaro kiasi cha 1b kiasi hichi wala jk hajawahi weza japo amekaa madarakani miaka kumi
badilikeni walimu chaguo bora simmeliona?