Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Sisi Waafrika wengi tuko hivyo hasa sisi Watz tunapenda sana vitu na mambo mazuri, tunapenda nchi yetu iwe kama Ulaya, iwe na matreni ya umeme, iwe na masubway, kila mtu awe na kazi, chakula cha kutosha madaraja makubwa kama Golden gate California lkn njia ya kufika huko hatuitaki, tunataka Mungu aje aturushe kama chura hatua moja kubwa na kuamkia kama Ulaya ...