Waafrika wakimuona Alien, wanajua ni jini au mauzauza, kesho unawakuta kanisani na msikitini wakikemea

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Ukienda pale Senegal, kuna UFO ipo pale, alien walikuja nayo na kuiacha, hawajulikani walikwenda wapi.

Alien hapa duniani wanatua popote pale si Marekani tu ila tatizo letu sisi, tukiwaona aliens tunasema ni majini, tunaanza kukemea na kusoma dua.

Tatizo lipo hapo tu. Leo ukikutana na alien usiku, kesho unaenda kanisani, unamwambia pasta uneona jini😂😂😂
 
"Ukienda pale Senegal kuna ufo ipo pale ,alien walikuja nayo na kuiacha "

Natamani nione picha yake, ngoja ni Google
 
Mfupa wanguruwe mkuu ndio unao tebea nao mfukon??
hiyo ni hirizi tu, nyie ndio wale wenye hirizi zenye manyoya simba, ngozi ya chatu, kucha za chui, mkonga wa tembo ili muogopewe na mnapotoa maagizo ofisini yatekelezwe kwa woga na hofu kuu kwa wafanyakazi wenu na ndio mnaovaa pete za ajabuajabu za kishirikina
 
Mfupa wanguruwe mkuu ndio unao tebea nao mfukon??
hiyo ni hirizi tu, nyie ndio wale wenye hirizi zenye manyoya simba, ngozi ya chatu, kucha za chui, mkonga wa tembo ili muogopewe na mnapotoa maagizo ofisini yatekelezwe kwa woga na hofu kuu kwa wafanyakazi wenu na ndio mnaovaa pete za ajabuajabu za kishirikina
 
Ukienda pale Senegal, kuna UFO ipo pale, alien walikuja nayo na kuiacha, hawajulikani walikwenda wapi.

Alien hapa duniani wanatua popote pale si Marekani tu ila tatizo letu sisi, tukiwaona aliens tunasema ni majini, tunaanza kukemea na kusoma dua.

Tatizo lipo hapo tu. Leo ukikutana na alien usiku, kesho unaenda kanisani, unamwambia pasta uneona jini
Bila picha ya UFO ya alien ya Senegal huu ni uzishi

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom