Waafrika ni wanafiki sana

Waafrika ni wanafiki sana

Mndwyika.wetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
652
Reaction score
829
Waafrika ni wanafiki sana na ndio maana wakoloni walitutawala kirahisi na kituuza utumwani.

Yanayotikea Belarus leo, viongozi wengi wa nchi jirani wanakemea na kutaka uchaguzi huru na haki ufanyike na maamuzi ya wananchi walio wengi yaheshimiwe.

Tuje hapa Afrika bara la wanafiki, kiongozi akifanya hayo majirani wote kimya utasikia hatuwezi kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, ndio maana makaburu wa SA walisema waafrika tumelaaniwa na Mungu.

Wakati wa ukoloni tuliaminishwa kwamba tumtoe Mzungu ile tuwe huru, mzungu mweupe kaondoka lakini mkoloni mweusi anafanya mabaya zaidi ya yale tuliyifanyiwa na wakokini wa kiingereza na kijerumani.
Tunaona sheria zinazotungwa siku hizi ni mbaya kuliko alizotunga mjerumani.

Sasa kama shida yetu ni madaraja na mareli kwanini tuliwatoa hao wakoloni si tungewaacha tu kwa sababu walikua wanatuletea maaendeleo, mwaka 1959 treni ilikua inafika Arusha, leo tunaaminishwa treni kufika huko ni maendekeo mapya yanayoletwa na serikali ya awamu ya tano tano.
 
Back
Top Bottom