Waacheni waoane, kwani kuna tatizo?

Waacheni waoane, kwani kuna tatizo?

ShalomP

Member
Joined
Jun 14, 2019
Posts
97
Reaction score
154
Hivi inakuaje mzazi unamchagulia mwanao wa kiume mke wa kumuoa au mwanao wa kike mume wa kuolewa naye.

Kama wamependana kwanini msiwaache waende kuishi kwa Amani na taratibu zote na kanuni zikafuatwa.

Yaani kuna rafiki yangu ametengwa na wazazi wake hasa baba yake kisa kaowa Mwanamke ambaye baba yake ajamridhia hivi nyie wazazi kwani enzi zenu Kuna mtu aliwachagulia?

Mzazi unaweza kuvuruga mahusiano ya mwanao kumbe huwezi jua labda ndio walikuwa ubavu mmoja na mwili mmoja Sasa unapomchagulia mwenzi mwengine ambae ajampenda ndipo ndoa inakuwa uwanja wa Vita.
 
Marehemu mzee Mwasingi ilikuwa akimkataa mchumba wa kijana wake ujue mzee alishapita naye hapo kabla maake alikuwa akiwaambia vijana wake kuwa kuweni makini msije mkawagonga mama zenu wadogo
 
Back
Top Bottom