Waache Waleweeeee.........

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
02.JPG

Wafanyakazi wa Gazeti la Jambo Leo linalochapishwa na Kampuni ya Quality Media Group Limited wakiwa na furaha wakati wa hafla ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2017 kwenye Ukumbi wa Ground Zero, Kurasini Dar es Salaam juzi.
MICHUZI BLOG

Wanaume wa wapi hawa wanaokunywa Castle Lite?
 
Uliwaomba kibal mkuu? Wasije raia wakakutafuta kwa kuweka sura zao mtandaon bila ridhaa yao
 
hao ni wanaume wa hapo ulipowapigia hyo picha
Wafanyakazi wa Gazeti la Jambo Leo linalochapishwa na Kampuni ya Quality Media Group Limited wakiwa na furaha wakati wa hafla ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2017 kwenye Ukumbi wa Ground Zero, Kurasini Dar es Salaam juzi.
 
Huyo dada alotuonesha mgongo anapesa ya kulewa bt ya kununua shat hana, kweli kila mtu ana kipaumbele chake, let her be, wayiiii
 
Wafanyakazi wa Gazeti la Jambo Leo linalochapishwa na Kampuni ya Quality Media Group Limited wakiwa na furaha wakati wa hafla ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2017 kwenye Ukumbi wa Ground Zero, Kurasini Dar es Salaam juzi.
Nimekupata mkuu, kumbe ulituuliza swali ambalo jibu unalo, ila asante nimeosha macho nilikua sijaona mgongo wazi kitambo, hahahaaaa
 
Walewe na hivyo vi-castle light...?? Hakuna mnywaji hapo...Atleast ningeona Balimi au Safari lager
 
u
02.JPG

Wafanyakazi wa Gazeti la Jambo Leo linalochapishwa na Kampuni ya Quality Media Group Limited wakiwa na furaha wakati wa hafla ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2017 kwenye Ukumbi wa Ground Zero, Kurasini Dar es Salaam juzi.
MICHUZI BLOG

Wanaume wa wapi hawa wanaokunywa Castle Lite?
Ulitaka wanywe viroba? Unajidai kunywa vinywaji vikali kumbe unapunguza siku zako za kuishi
 
Huyo mdada tu kanifurahisha. Mpiga picha hakujua pa kusimama. Angetuonesha hayo ma niddle yalivyo tu kwani yaonesha dadatu aliumaliza mwaka vibaya sana. Kweli, mabinti mmejua namna nzuri ya kujirahisisha
 
Back
Top Bottom