Wa Siku nyingi:NAACHANA na UWAKILI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wa Siku nyingi:NAACHANA na UWAKILI

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by VUTA-NKUVUTE, Aug 31, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Hauna maana.Kazi yetu ni kutuna tu na mabegi yaliyosheheni nyaraka za kulinda wezi. Hapa Arusha(kwenye mkutano wetu wa Mawakili) hakuna la maana tunalolizungumza zaidi ya kutambiana kwa matumizi na magari ya kifahari.Heri yake Wakili Msomi Tundu Lissu ambaye muda huu 'anatutukana' kwa kutuita waoga na walinda vibovu.

  Katiba mbovu;tuko kimya.Serikali mbovu;tuko kimya.Sheria mbovu;tuko kimya.Wananchi wanauawa;tuko kimya.Sisi ni wanafiki wakubwa.Hatufai. TLS,punde nawaleteeni ombi langu la kujitoa kwenye Orodha ya Mawakili(Roll of Advocates). Msinijuejue...
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Wewe msomi bana.

  Hivi na wewe Shivji kakufundisha?
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  Lawyers mkiacha mambo ya kimjini mjini mambo yatakuwa safi sana...sasa duuuh
   
 4. cedrickngowi

  cedrickngowi Senior Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  All have been said.its the UGLY TRUTH, but take it.inauma sana watu wanapata mali kifisadi then wanajisifu na kutunyanyasa mtaani.worse enough wanaenda mbali zaidi kwa kuita wenzao wavivu na wana wivu wa kike.Ole wao,one day the son of a man will stand up.
   
 5. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  I am afraid behind the keyboard anyone can be an advocate..even when they are not..i doubt kama mleta thread ni wakili.
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,853
  Likes Received: 23,469
  Trophy Points: 280
  Why doubting? Kwa sababu hajaandika kwa kinglishi?
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Kwani kizungu na uloya vina uhusiano gani?
   
 8. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  " tofauti ya utumwa wa mawakili na watumwa wengine (walalahoi) ni kuwa mawakili ni watumwa waliofungwa minyororo ya dhahabu ilhali walalahoi wamefungwa minyororo ya chuma" REV. CHRISTOTHER MTIKILA
   
 9. M

  Mundu JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Tuambie ukiacha unaenda kufanya kitu gani mbadala?
   
 10. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Sio kingereza..tatizo ni kuwa hatuna namna tunaweza kuverify,that‘s why hata wewe unaweza tu kupost ukadai ni engineer.

  Lakini kingine ukiangalia reasoning yake unaona syllogysm haiko sawa.Ok,kuna matatizo mengi katika taaluma hiyo,so what?
  Hayo matatizo yanahitaji collective responsibility ama individual responsibility?

  Yeye ni private practitioner ama la? Kama private practitioner wajibu wake ni nini? Angejua na kutimiliza asingekuja kupost hivo humu ndani.

  Na kama sio, je job decription yake alipoajiriwa ni nini?

  Anyways,he still has the benefit of doubt!
   
 11. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kenya Law society engages its government very constructively na ndio maana contribution yao kwenye katiba yao mpya ni very significant!! Tnzania Lawyers kama sisi wananchi wengine ni vilaza tunajali matumbo yetu na sio mstakabali wa nchi yetu!! Do we have a lawyer in Tanzania who are is as construcively proactive as Abdinassir Abdillah wa Kenya?
   
 12. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  HUYU mdau kama kweli ni lawyer, basi ATAKUWA HAJAWAHI KUPATA TENDA la Kubania watu haki zao kwa kutumia taaluma yake ya uanasheria! na kama alipata lile tenda basi mpaka leo hawajamlipa ndo maana AMEANZISHA MGOMO BARIDI PEKE YAKE!!!
   
 13. LUCIFER

  LUCIFER Senior Member

  #13
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  it hv nothin to do with u,coz hata akiongopa n sawa anajiongopea mwenyewe,kwan hata wewe hlo jina unalotumia ni la kwako?..kuna umuhim wa sis kulijadili?
   
 14. D

  Dina JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Whether he is a wakili or not, don't you think he is representing something tangible? Kibaya ninachokiona kwa mtazamo wangu ni suala la kujitoa, why? Cha msingi ni kubadilika na kufanya kazi kwa ethics, daktari, mwalimu, mhasibu, mtoza ushuru etc etc etc, nao wakifuata nyayo tutafika mahali. Though it could be in year 2050!
   
 15. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ha ha ha! wakili Rizmoko naye nimemwona aicc! kama mawakili katika nchi hii duuuuh!! plasi na wale majaji wasiojua kujaji walioteuliwa na asie jaji kule mahakamani!!!!??? sisi tuliobaki basiiiii zisi is anaza genge la unyonyaji
   
 16. majorbanks

  majorbanks JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Just grab tha message dawg and digest it..wewe unataka kila anayeleta ujumbe/mada wa ishu flani lazima awe mwenye iyo profession??
  Wewe mwenyewe ilo jina sio lako!!so behind tha keyboard anybody can be Mtundu Kisu....kudadadeki..!!
   
 17. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,506
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Huna haja ya kuaga. We acha tu kulipia annual subscription fee utakuwa umejiondoa mwenyewe.
   
 18. majorbanks

  majorbanks JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Just grab tha message dawg and digest it..wewe unataka kila anayeleta ujumbe/mada wa ishu flani lazima awe mwenye iyo profession??
  Wewe mwenyewe ilo jina sio lako!!so behind tha keyboard anybody can be Mtundu Kisu....kudadadeki..!!
   
 19. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Tatizo the lie is too itchy to sip...if at all one chooses to lie or fraudulently misrepresent something,he should be good enough to invite some shadow of belief! I don‘t find that in his arguments.
   
 20. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #20
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mtundu Kisu,pokea habari kama ilivyo. Kwanza,nani kakuambia kuwa Mleta mada ni Wakili? Hata kama ndivyo,kungekuwa na tofauti gani? Ukweli umekuuma sana Mkuu. Pole sana!
   
Loading...