Dar inahitaji kuombewa sana,wanaume wao legelege,sasa mpaka wavulana wao wamekuwa legelege?Watoto miaka 4 yupo kwenye school bus alafu anataga?
Mtoto anapelekwa shule na V8 ,baba yupo wizarani,akitoka shule mummy anampitisha Merry Brown kula ice cream na chips,na kupiga selfie za kuweka insta alafu bado anapata Zero?Naomba Wizara ihamishiwe Kilimanjaro kwenye Elimu Dar waachiwe 'after school bash'