PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,135
Hawawezi kuelewa,wao wamejizoelea chipsi na Pepsi.wanaume wa dasalamu hawajaelewa kitu hapo
Ohoooo!!!ndomana mabango ya nguvu za kiume yamejaa huko.Wa Darisalama
Uko sahihi kabisa jembe.raha ya huku mboga unajikadiria mura. unagecha mbuli mzima au ng'ombe hatupimi huku. starehe ni kuwa washiriki huwa wachache kwaio hakuna kuhesabiana matonge na finyango. hakunaga juice pembeni-mwendo wa maji ya kisima. kazi nzuri sana ya mama bhoke anayajaza mtungini yanapoa maana jokofu sio kipaumbele huku. MIKOANI RAHA
wa daslam hawawezi kuelewa kitu hapo,wao ni chips na soda,halafu anaenda kunywa safari au pilsner(ukawa) za kutosha...afya itatoka wapi sasa?