Samahani mkuu mzizimkavu, vipi kuhusu hii avast antivirus inayoonesha expiry ni mwaka 2038, na ni free ni nzuri? namaanisha haina matatizo? nimewahi kuitumia nikaondoa sahz natumia kaspersky ya 2012, lakini natamani kuirudia ile avast kwani pc ilikuwa si nzito kama kwa hii kaspersky.