Wa kimbizana toka Burundi

jason

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
315
Reaction score
165
Wa kimbizi wakiwa wametua Kigoma
 

Attachments

  • 1431220059871.jpg
    108.8 KB · Views: 1,350
  • 1431220093131.jpg
    97.7 KB · Views: 1,214
  • 1431220120417.jpg
    97.2 KB · Views: 1,159
  • 1431220150765.jpg
    103.6 KB · Views: 704
October na sisi tutakimbilia wapi?
 
Ukiangalia kwa makini hizo picha kuna machalii wanafanana sana kiongozi mkuu wa alliance of coward traitors.

Sasa sijui DNA inaweza kututegulia kitendawili?!??!
 
Pole yao maskini, walishuhudia ndugu zao 300000 wakiuwawa kinyama
Leo hawana jinsi ila kukimbia tu, vita sio mchezo nasi tuombe amani sana kwa Mungu
 
October na sisi tutakimbilia wapi?

Tanga Moshi na Arusha unakimbilia Kenya

Mbeya na Sumbawanga wanakimbilia Zambia

Bukoba =Uganda
Musoma=Kisumu
Njombe=Nyasa
Ntwara=Nchumbiji

Kazi kwa waliobaki
 
Bowlibo mshauri huyo ndugu yetu, sio senema ati...... tuzionee huruma jamii zetu na tusijiwaze sisi wenye nguvu tu
 
Bowlibo mshauri huyo ndugu yetu, sio senema ati...... tuzionee huruma jamii zetu na tusijiwaze sisi wenye nguvu tu

Mkuu Mahesabu anaposema wanaokimbia ni watoto na wanawake, inatakiwa ajuwe kuwa hao ndo watoto wetu, wake zetu, dada zetu na mama zetu.

Isitoshe kuna wagonjwa humo, huwezi kurelax wakati familia iko displaced.

cc Jaslaws
 
Last edited by a moderator:
Angalizo tu,kuna ndugu zao waliokimbia 1972 na 1994 tayari walishapata uraia wa tz so wanaweza kujichanganya na hatimae makambi ya nyarugusu yakabaki matupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…