Njopekafarm nunua miche ya nanasi kutoka kwetu ,Rais mstaafu wa Tanzania akivuna zao la nanasi ni moja ya zao lenye msingi nafuu na faida ya juu Eka moja unaweza kupanda miche elfu tano bei ya chini utauza nanasi moja shamba 700 jumla ya mananasi elfu tano utapata 3,500,000 kwa mvuno mmoja pia kila mbegu moja utauza 150 utavuna miche zaid ya elfu ishirini takribani utapata 1,500,000 namba zetu 0625977427 kwa mahitaji ya mbegu za nanasi na huduma ya kuandaa shamba