Miwatamu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 1,450
- 490
Kwetu ss tuliobahatika kuwepo miaka ya 80 tulikutana na mambo mengi sana ambayo ukiyakumbuka kwa sasa unaishia kucheka.
Zama zile ukikutwa umenyoa denge lazima uwekwe ndani eti umenyoa mnyoo wa kipolisi!
Ukionekana na kitambaa chenye rangi za bendera ya taifa hiyo kesi ingefika hata ikulu!
Ukivaa cadet unaambiwa umevaa kitambaa cha polisi na lazima uvuliwe! Utakwendaje kwenu, haiwahusu.
Ukionekana umevaa shati lenye lebo au nyota ama V unaambiwa hivi ni vyeo vya askari!!!
Je, haya yangekuwepo leo c vjana wetu wangeishia lupango?! Ama kweli tumetoka mbali.