madogo kuna hostel za zanaki pale ndan zsije zkawachanganya.friday azajangwa mkasali sio usharo.afu tabia ya kushnda kwa mudi na mbuga wakati madam ringia anatitirika biology itawacost.mnaotoka mikoan komaeni maisha ni tofauti hapo.
wale wa pcb ukuta wa muhimbili n mfupi lakn kufka muhmbili n pa refu.we uko aza,usishangae mwenzako wa mtwara anafka muhas afu we unashndwa.MASOMO MEMA WADOGO ZANGU.
Dogo kwa azania wanaokaa bweni ni wale wa ECA Kipindi hicho kwa sasa sina uhakika kama kuna mabadiliko,pia usije ukaiga tabia ya kupiga chabo Zanaki utafel,ni shule nzuri ukikomaa lazima utoke