Vyuoni wanaume mumezidi badilikeni


ha ha ha ha ha
 
hata bwana wako ana wengine kama wewe na ukimfatilia sana atakukacha cute b
 
Last edited by a moderator:
Eeeh aiseee apo ntakataa 100%, Kuna wadada wamesoma boarding tangu nursery mpaka wanamaliza six lakini Hana Habari ya kuchanganywa na na awo wanaojiita wanaume.izo sema ni tabia na maamuzi ya mtu binafsi.
 
Ujumbe huu ni mzuri lkn nauliza tu swali,je wewe umepona ktk janga hili au na wewe ni mhathirika?
 
Hahhahahaa umejuaje kma wanafanya mambo ya ajabu kama ni discusion je au mtu na ndugu ake kama ulisha wahii kuingia labda

Weeeee…… ..ushaaambiwa mtu anaingia,then anatoka na Taulo… ..Hujiongezi???
 
Eeeh aiseee apo ntakataa 100%, Kuna wadada wamesoma boarding tangu nursery mpaka wanamaliza six lakini Hana Habari ya kuchanganywa na na awo wanaojiita wanaume.izo sema ni tabia na maamuzi ya mtu binafsi.

Co wasichana wote lkn hili nitatizo la kisaikplojia hata kwa wanaume inawatokea waliosoma boys kufagilia sn madem, atapata taabu mwanzuni namna ya kuwaaproach na cku akiwawezea, aisee watapata taabu. Nahii nikutokana nakuwa alikua anaona km ni viumbe adimu kwake, ss chuoni inakua fungulia mbwa. Mwingine anasibiri akipata kaz tu vischana vya chuo vitakoma. Nnachosema hapa ni kuwa hakuna kitu kbaya km kuruka stage ktk maisha, itakupa taabu. Wazungu wapo wazi sn ktk mambo haya, wanarihusu mtoto awe na boyfriend toka primary ila wanawasaidia katika urafiki wao. Na hz shule za boys au girls mimi nikipewa nchi nizfuta znaaribu psychology ya vijana.
 

wanawake nao wanawapanga wanaume...wacha watu wagegede tuu..kwanza nyie wanawake ni wa kugegedwa
 
Invalid points.changes begin wit u.
 
"...unakuta mwanaume mmoja ana wanawake kumi college..."

Maana yake wanaume kwa wanawake wabadilike vyuoni!
 
sasa tufanyaje? wengne wanajirengesha wenyewe, me mtu akinichekea-chekea namtanua tu, hamchelew kumuita mtu kibisa nyie
 
wamebanwa sana sekondari waacheni watumie vidudu vyao bwana.huto tusichana ni tu malaya balaa we utuone tu hv hv ukafikiri hawajui kinachoendelea

Hahaaaaa uwiiiiiiii eti tuvidudu duh jF
 

Hahaaaaaa mzee naona UMESEMA NAE hahaaaaaa
Yewoooja Uyuu nae fata MAELEKEZOoooo
 

tulio soma boys atupo ivo!!!!!
 

Hivi bado wapo wanaobakisha wa kijijini!!!!!
 
acha akili mgando ww!!! nyie vdada mnajlengesha balaa hasa mkiishiwa boom!! sa unataka jamaa wafanyaje,,, tukiwaacha utackia yule n mtu wa obama nn mbna hatugongi!!!!!! huenda hata ww n mmoja wapo!!!fyuuuuyuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…