martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,464
Ombi halitekelezeki labda kama linahusu vyuo vya serikali. Agizo liko kisiasa zaidi. Vyuo vya orivate vinategemea hiyo pesa kujiendeshaBaada ya siku chache kupita toka bunge la TANZANIA chini ya spika Mh.Tulia Ackson Mwansasu liagize vijana kupokelewa vyuoni na kuanza masomo huku mchakato wa mikopo yao ukiendelea, limeonekama kupingwa na vyuo mbalimbali nchini na kuonekana kama limepotezewa.
Agizo hilo lililotolewa na spika wa bunge, ni kama limepotezewa na vyuo mbalimbali pamoja na taasisi za kielimu nchini. Ambapo vijana hao wameshindwa kupokelewa vyuoni pasipo kuwa na viwango vya fedha vinavyotakiwa na vyuo hivyo.
Vijana hao hasa wa mwaka wa kwanza wameonekana kulalamika na kuudhunika kutokana na hali halisi inayoendelea mpaka sasa, huku masomo yakiendelea vyuoni kwa wale waliolipia viasi hivyo vya pesa.
Baadhi ya vyuo Dar Es Salaam kama UDSM na Ifm wamekataa kabisa kusajili wanafunzi hao wapya huku wakilazisha kulipwa pesa ya awali ambayo si chini ya laki sita ili wanafunzi hao wapate kusajiliwa. Hivyo kuzua sintofahamu Kwa baadhi ya wanafunzi.
Ombi langu kubwa kwa serikali ni kuangalia upande huo wa vijana kwanza, kwani wanateseka ukizingatia masomo yanazidi kusonga mavyuoni. Serikali ifanye mchakato juu ya vijana hao kwanza na mambo mengine ndio yaendelee.
Sidhani kama vyuo vinaweza kufanya kazi kwa matamko ya wanasiasa..Baada ya siku chache kupita toka bunge la TANZANIA chini ya spika Mh.Tulia Ackson Mwansasu liagize vijana kupokelewa vyuoni na kuanza masomo huku mchakato wa mikopo yao ukiendelea, limeonekama kupingwa na vyuo mbalimbali nchini na kuonekana kama limepotezewa.
Agizo hilo lililotolewa na spika wa bunge, ni kama limepotezewa na vyuo mbalimbali pamoja na taasisi za kielimu nchini. Ambapo vijana hao wameshindwa kupokelewa vyuoni pasipo kuwa na viwango vya fedha vinavyotakiwa na vyuo hivyo.
Vijana hao hasa wa mwaka wa kwanza wameonekana kulalamika na kuudhunika kutokana na hali halisi inayoendelea mpaka sasa, huku masomo yakiendelea vyuoni kwa wale waliolipia viasi hivyo vya pesa.
Baadhi ya vyuo Dar Es Salaam kama UDSM na Ifm wamekataa kabisa kusajili wanafunzi hao wapya huku wakilazisha kulipwa pesa ya awali ambayo si chini ya laki sita ili wanafunzi hao wapate kusajiliwa. Hivyo kuzua sintofahamu Kwa baadhi ya wanafunzi.
Ombi langu kubwa kwa serikali ni kuangalia upande huo wa vijana kwanza, kwani wanateseka ukizingatia masomo yanazidi kusonga mavyuoni. Serikali ifanye mchakato juu ya vijana hao kwanza na mambo mengine ndio yaendelee.
Ndo hapo sasa, hata mie nashangaa.Tatizo hamjiongezi.
Je wakikubaliwa lala na kusoma, watakula nini?
Yaan wee acha tyuuh dada, wanafunzi wengine ni wa kuwaonea hurumaa, maan hata kula n tabu.Na huo mkopo msipoata mtarudi makwenu??
Kuna umuhimu wazazi/walezi kujiandaa ada mapema kwaajili ya mwanao.
Mkopo ni bahati nasibu.
Yaani hii sitaki imtokee madogo,kikubwa mzazi ajue majukumu yake. Sio unambwaga tu mtoto na haujui anakula nini yupo wapi na anafanya nini!?Yaan wee acha tyuuh dada, wanafunzi wengine ni wa kuwaonea hurumaa, maan hata kula n tabu.
Hiki ulichosema Kiko wazi kabisa na Kuna Cha kujifunza apa sisi wazazi ni Bora kujiongeza mapema maana elimu ya juu Ina changamoto nyingi sana.Na kwa ushauri wangu Kama tunataka kuondoa tatizo hili ni Bora elimu ya juu igaramiwe na selikari kwa Kila aliye na sifa kuliko kutoa kwa baadhi kwani ni mkopo maana yake atalipa baadae na hili linawezekana kama Nia ikiwepo.Ni Bora wapewe ratio sawa lakini Kila mtu apate kuliko wengine kukoswaSidhani kama vyuo vinaweza kufanya kazi kwa matamko ya wanasiasa..
Lini sasa mkuuWanaendelea kupanga mikopo ,kuweni wavumilivu